IQNA – Yousef, kijana kutoka Bahira nchini Misri, amewavutia wengi kwa sauti yake ya usomaji Qur’ani Tukufu na ameendeleza kipawa chake kwa kusikiliza qiraa za maqari mashuhuri kupitia mtandao. Anaota ndoto siku moja kuwa miongoni mwa majina makubwa katika uwanja wa usomaji wa Qur’ani na kufuata nyayo za Sheikh Abdul Basit Abdul Samad.
Habari ID: 3482609 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/10
IQNA – Baraza Kuu la Masuala ya Kiislamu nchini Misri limezindua filamu fupi inayoelezea maisha ya marehemu qari Abdul Basit Abdulsamad, kwa kutumia teknolojia ya akili bandia kuonesha hatua muhimu tangu kuzaliwa kwake hadi kufariki.
Habari ID: 3481686 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/20
IQNA – Mkusanyiko wa vitu binafsi vya qari maarufu Sheikh Abdul Basit Abdul Samad ni miongoni mwa maonyesho katika Jumba la Makumbusho ya Maqari wa Qur’an nchini Misri.
Habari ID: 3481684 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/20
IQNA – Mwana wa qari mashuhuri wa Qur’ani kutoka Misri, Sheikh Abdul Basit Abdul Samad (rahimahullah), ambaye sauti yake imehifadhiwa katika nyoyo za Waislamu duniani kote, amefariki dunia mjini Cairo siku ya Ijumaa, tarehe 31 Oktoba 2025.
Habari ID: 3481447 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/01
TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Wakfu nchini Misri imetangaza kuwa duru ijayo ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani nchini humo imepewa jina la Qari maarufu wa nchi hiyo, al marhum Sheikh Abdul Basit Abdul Swamad.
Habari ID: 3472184 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/23